MBOSSO ADAI HAKUTARAJIA KUWA BABA.

0

Msanii wa Bongo Flava, Mbosso amesema watoto wake wawili wenye umri sawa na kila mmoja na mama yake ni matokeo ya ukuaji (balehe) na wala sio kitu alichokuwa amepanga.

Mbosso anasema kwa sasa wasichana aliozaa nao wote wameolewa na wanaume wengine lakini yeye anaishi na watoto wake.

Mbosso anasema vijana wengi wa kiume huteleza kama yeye na kupachika waschana mimba sababu ya changamoto za ukuaji na maisha yao.

Mbosso amesianiwa katika record label ya WCB akiwa ni msanii wa sita kusainiwa baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lala Lava.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar