MBOSSO ABADILISHWA NA MASHABIKI

0

Msanii wa mziki wa Bongo Flavaz, Marombosokhan aka mshedede, amefuguka na kusema  kwa sasa amekuwa na kazi kubwa sana ya kubadili muoneknao wake kwa mashabiki zake ambao wanasapoti muziki wake.

Mbosso ameelezama kuwa watu wengi wamekua wakimshauri abadilishe muonekano wake wa awali kwani alikua anamuonekano wa mwalimu na wala si mwanamzuki.

Maromboso ambae kwa sasa yupo chini ya lebo WCB ni mmoja ya wasanii wanaojituma kila kukicha na kutoa  kazi nzuri jambo linaliweka jina lake juu ya ramani ya mziki wa kizazi kipya!

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar