MAUA SAMA ATESEKA RUMANDE

0

Msanii wa mziki wa Bongo Flava Maua Sama hakufikishwa mahakamani jana kama ilivyotarajiwa kujibu kosa la kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na kibali.

Maua Sama na wenzake wakiwemo wanahabari  walikamatwa na polisi wiki iliyopita kwa tuhuma za kuidhalilisha nembo ya taifa la Tanzania,  baada ya kupost video moja mtandaoni inayowaonyesha watu wakichezea hela za Tanzania.

Wataalamu wa sharia wanadai kesi yake huenda ikaanza  kusikilizwa katikati ya wiki hii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar