MAUA SAMA AONYWA HILI KUHUSU MSANII DARASSA.

0

Mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wamemtaka Maua Sama asifuate njia ya msanii aliyewahi kuvuma miaka ya pnde kwa jina Darassa.

Kupitia mitandao ya kijamii mashabiki wamemkumbusha Maua Sama kuwa msanii Darassa alifunga mwaka 2016 akiwa hashikiki kutokana na ngoma yake maisha kwa jina mziki lakini amefifia baada ya kusalia kimya.

Shinikizo za mashabiki kwa Maua Sama zinajiri ngoma yake kwa jina “iokote” kurodheshwa miongoni mwa ngoma zinazofunga mwaka 2018.

Hivi Maua ataweza kuendelea na speed ya “iokote” kwa next project ama yatakua yale yale ya Darassa!

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar