MASAIBU YA R.KELLY YAZIDI. AKAMATWA TENA NA KOSA TOFAUTI!!

0

Masaibu zidi yanazidi kumuandama mkongwe wa mziki wa RnB duniani R. Kelly, baada ya kutiwa mbaroni na maafisa wa polisi eneo la Cook County nchini Marekani kwa tuhuma za kutelekeza jukumu lake la ulezi wa mtoto.

R.Kelly anazuiliwa baada ya mkewe wa zamani kwa jina Drea Kelly kufika mahakamani.

Kulinga na taarifa hizi huenda R.Kelly akarudi jela tena iwapo hata toa kiwango chote dola elfu 161 ambazo ni sawa na shilingi milioni 16 pesa za Kenya anachohitajika kusimamia gharama ya malezi ya mtoto husika.

Tukio hili linajiri masaa machache baada ya mahojiano na kituo kimoja cha Tv na R. Kelly ambapo alikua anajitetea dhiidi ya madai ya dhulma za kingono kwa watoto.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AMARILA ABADILISHA USIMAMIZI WAKE

Taarifa za punde zinadai msanii Amarila amebadilisha management yake na kujiunga na management mpya kwa jina Hustle Nation. Kulingana na na taarifa katika mitandao ya ...
Skip to toolbar