MAPYA KUHUSU UHASAMA WA DRAKE NA MEEK MILL

0

Licha ya majibizano ya maneno baina ya wasanii hawa wawili kutokuepo kwa mda mrefu sasa, wikendi hii Rapper Drake ameuwasha tena moto wa uhasma baina yao baada ya kumtusi Meek Mill.

Drake amemshambulia Meek Mill wakati akiwa katika ziara yake ya “Summer Sixteen” na kudai kuwa mpaka sasa Meek Mill hajajibu disstracks zake alizorekodi kwa jina “Charged Up” na “Back to Back,”

download (18)

Hata hivyo muda huu umetajwa kutokua mzuri kwa Drake kumshambulia Meek Mill kwani kwa sasa ziara hii ya Drake inaenda nyumbani kwa Meek Mill jiji la Philadelphia,

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MAUA SAMA ATESEKA RUMANDE

Msanii wa mziki wa Bongo Flava Maua Sama hakufikishwa mahakamani jana kama ilivyotarajiwa kujibu kosa la kutumia mitandao ya kijamii bila kuwa na kibali. Maua ...
Skip to toolbar