MAONI YA DULLY SYKES KUHUSU MSANII KUANDIKIWA WIMBO

0

Hit maker wa ngoma wa “Inde” ambaye ni mkongwe wa mziki wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes a.k.a Brother Man anasema ili uweze kuwa Legendary katika mziki wa sasa lazima upitie hatua ya kuandikiwa nyimbo.

Dully Sykes amepig mfano wa wanamuziki wakubwa duniani kama Michael Jackson ambao anasema  wamewahi kuandikiwa nyimbo na zikafanya vizuri.

Dully Sykes anaeleza kuwa kuwa kuandikiwa nyimbo sio udhaifu bali ni kujipima uwezo wako kama unaweza kutembea kwenye mawazo ya watu wengine.

Dully Sykes amefichua kuwa wimbo wake “Inde” alisaidiwa kuandika na msanii Raymond wa WCB.

“Inde nimesaidiwa kuandika na Raymond, ngoma nyingine ambayo nimeandikiwa ni Dhahabu. Kwenye nyimbo hiyo chorus niliandika mwenyewe ila verse nilisaidiwa na msanii anaitwa Jay C.” alisema Dully Sykes.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JACKIE CHAN KUPOKEA TUZO YA OSCAR

Baada ya miaka 56 na filamu 200, Jackie Chan atapokea tuzo ya Oscar mwaka huu. Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutika China Jackie Chan ametajwa ...
Skip to toolbar