MAMAKE DIAMOND APATA MCHUMBA MPYA. ANAPANGA HILI SASA!

0

Mamake msanii nyota wa Bongo Flavaz Diamond Platnumz amepata mume mpya.

Mama Dangote aka Bi Sandra amethibitisha haya katika mahojiano na kufichua kuwa angependa kuzaa tena ili Diamond Platnumz apate mdogo wake.

Hata hivyo mamake Diamond amekataa kufichua jombi huyu ni nani na iwapo kwa sasa kama tayari amebeba mimba yake.

Mamake Diamond aliachana na babake Diamond miaka kadhaa iliyopta na amekua akiishi pekeyake toka hapo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE NI KWELI AVRIL NI MJAMZITO?

 Msani wa kike jijini Nairobi Avril amezua gumzo mtandaoni kuhusiana na swala la ujaauzito. Kulingan ana picha na vipande vya video vinavyosambaa katika mitandao ya ...
Skip to toolbar