Mama yake mzazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kuzungumza kinachomkera kwenye mitandao kuhusiana na mwanawe Diamond Platnumz.
Mamake Diamond anasema anachukizwa sana na kitu wanaachoandika baadhi ya mashabiki kuhusu uhusiano baina ya Diamond na babake mzazi.
Mamake Diamond anasema wanaoandika maneno haya humkera sana kwani Diamond kila mwezi anapeleka hela ya matumizi kwa Baba yake.
“Diamond kila mwezi anapeleka hela ya matumizi kwa Baba yake sasa sijui hayo maneno yanatoka wapi”
Kitu gani wewe hukukera katika mitandao ya kijamii…..?
No comments