MAKALIO MAKUBWA KIVUTIO CHA UTALII UGANDA SASA!

0

Wizara ya utalii nchini Uganda imetangaza wanawake wa Uganda wenye makalio makubwa na shepu za kuvutia kama moja wapo ya vivutio vya kitalii nchini humo.

Kuingana na waziri wa utalii nchini Uganda Godfrey Kiwanda, wanawake wengi wa kiganda wamebarikiwa kimaumbile na ipo haja bodi ya utalii nchini humo kuwatmia kama kivutio cha watalii kutoka sehemu zengine za dunia.

Waziri huyo aidha amefichua mipango ya kuandaa shindando la urembo la kuangazia wanawake wenye makaliao makubwa na shepu za kutamuasha litakalojulikana kwa jina la Miss Curvy Uganda.

Mshawasha wa wanawake wa kiganda ulianza katika mtandao wa twitter wakati wa #CURVY VS SLIM Twitter challenge ambapo ilibainika wengi wao wanamakalo makubwa na shepu za kutamausha wanaume.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar