MAJANGA: MTOTO KUWASHTAKI WAZAZI KWA KUMZAA BILA IDHINI YAKE.

0

Raia mmoja wa India kwa jina Raphael Samuel mwenye umri wa miaka 27, anakusudia kuwafungulia mashtaka wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake.

Samuel anasema kwamba ingawa anawapenda wazazi wake, lakini walimzaa kwa starehe zao hivyo wasimlazimishe kufanya chochote ikiwemo kutafuta ajira na majukumu mengine.

Samuel ni mwnaaharakati anayeendekeza dunia bila watoto ambapo anasema hatua yake ni kuhamasiha watu kwamba si lazima kila mtu  apate na kulea watoto katika maisha.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BOBI WINE AKO HURU KWA DHAMANA

Mwanamuziki maarufu nchini Uganda ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kyadondo, Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana jana Agosti 27, 2018 na mahakama kuu ...
Skip to toolbar