MAJANGA : AHUKUMIWA JELA KWA KUMBAKA MAMAKE MZAZI!

0

Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara Tanzania imemhukumu jamaa mmoja kwa jina, kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mama yake mzazi.

Choral Samson (28) amepatikana na hatia ya kumbaka Bi. Rhobi Nyang’ombe (65) ambaye ni mamake.

Mwendesha mashitaka, Renatus Zakeo alielezea mahakama kwamba mshtakiwa alitenda kosa hilo Desemba 26, 2017

Akisoma hukumu hiyo, hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Ismael Ngaile ametaka hukumu hiyo iwe funzo kwa wengine katika jamii.

Samson ameomba mahakama impunguzie adhabu hiyo kwa kuwa ni kosa lake la kwanza.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BELLE 9 ASEMA HUPENDA WAREMBO AINA HII

Msanii wa Bongo Flava, Belle 9 ameeleza kuwa hupenda warembo wenye makalio makubwa katika video zake. Belle 9 amefichua kuwa haa mrembo anayeonekana kwenye video ...
Skip to toolbar