MADEE ASEMA HAOI: ATOA SABABU ZAKE.

0

Msanii wa Madee wa nchini Tanzania anasema haoi karibuni .

Madee anasema anataka kuoa kama wafanyavyo wasanii wengine nchini Tanzania lakini ataoa siku atakapopata mwanamke mwaminifu.

Madee anasema kuwa haoni sababu ya kuoa kufurahisha umma, halafu atengane na mkewe baada ya mda mfupi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar