LYNN AJIBU KUHUSU CHAT ZA DIAMOND.

0

Via vya maneno baina ya msanii Diamond Platnumz na mwanadada mmoja kw ajina Lynn anayedaiwa kuchepuka nae vinaendele baada ya Lynn kudai Diamond chat alizosambaza Diamond zinazomuonyesha ynn akjilazimisha kimapenzi ni za uongo

Lynn amemtaka Diamond kuwak wazi namba za simu katika chat hizo ili watu wabaini kama kweli ilikua yake.

Lynn aidha amemtusi Diamond na kutishia kuachilia vipande vya video vinavyothibitisha mapenzi yao.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || SHINEY – NIMECHOKA

<<NEW AUDIO HIT>> ARTIST : Shiney SONG : Nimechoka Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar