LINAH AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

0

Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Estelina Sanga maarufu kama Linah amejifungua mtoto wa kike.

Linah amejifungu salama katika hospitali ya Marie Stopes, Mwenge jijini Dar es Salaam.

Linah amejifungua muda mfupi baada ya maneno ya mashabiki zake kusambaa kwamba ujauzito wake ni wa muda mrefu tofauti na ilivyo kawaida.

Mtu wa karibu na msanii huyo amesema kuwa mama na mtoto kiafya wanaendelea vizuri.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar