LINAH ADAI ANATAMANI KUTOKA KIMAPENZI NA MSANII HUYU.

0

Msanii wa kike kutoka nchini Tz Linah Sanga ameweka wazi kwamba anatamani kutoka kimapenzi na staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid.

Linah amesema waziwazi kwamba mwanaume ambaye anawish kuwa naye ni Wizkid.

“Msanii gani wa Afrika wakiume ambaye ningependa kuwa na mahusiano naye ambaye nilikuwa nampenda au nawish kuwa naye ni Wizkid,” alisema Linah.

Hata hivyo Linah anadai hajapendezwa na tetesi ambazo zimezagaa katika mitandao ya kijamii kwamba alilala na Wizkid alipokwenda Nigeria kwa kupiga show.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar