LIL’ KIM ATANGAZWA KUFILISIKA

0

Mwanamuziki Lil’ Kim ametangazwa kufilisika.

Inasemekana mpaka sasa mwanamuziki huyo ana madeni yanayofikia dola za kimarekani  milioni 4 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 400 pesa za Kenya.

Lil’ Kim amekuwa katika maandalizi ya albamu yake mpya tangu mwaka 2005 na tayari ameachia single mpya inayojulikana kwa jina la Spicy aliyomshirikisha Fabolous.

Video ya wimbo huo inatarajiwa kutoka karibuni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || KING TSIGWLY – KIPEPEO

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :King Tsigwly – Kipepeo: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...