LADY JAYDEE AMTAJA MSANII WA BONGO ANAYEMCHIZISHA

0

Mkongwe katika muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee amefichua kuwa anavutiwa sana na kazi za msanii Aslay kwa sasa.

Lady Jaydee anasema anapohitaji kusikiliza muziki mzuri katika Bongo Flavaz, husikiliza muziki wa Dogo Aslay.

Lady Jaydee amemsifia Aslay akimtaja kama msanii anayejua kuimba na kuandika nyimbo nzuri.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

FID Q AFUNGA NDOA.

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amefunga ndoa jana katika msikiti wa Qiblatain Boko Jijini Dar es ...
Skip to toolbar