KUTOA NYIMBO NYINGI KUMENISAIDIA HIVI – ASLAY.

0

Msanii anayevuma kwa sasa katika tasnia ya mziki wa Bongo Flavaz nchini Tanzanian Aslay aemzungumzia mtindo wake kutoa kazi nyingi mpya kwa wakati mfupi

Aslay ambaye alikua mwanachama wa kundi lililovuma miaka ya nyuma la Yamoto Band kabla ya kujitoa na kuanza maisha yake kama msanii binafsi, anasema mtindo huu umemfaidi kama ilivyokua malengo lake.

Aslay ambaye amefikisha nyimbo 16 toka ahame kundi la Yamoto Band, anasema mtindo huu umemsaidia sana katika swala la kutumbuiza, kwani sasa ana nyimbo  nyingi zinazojulikana na watu wengi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar