KUMBE JOHO NDIYE ALIYEMUEPUSHIA AIBU ALI KIBA

0

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho anaripotiwa kumuepushia aibu msanii wa Tanzania Ali Kiba, wakati wa tamasha lake la kufunga mwaka lililofanyika jijini Mombasa akatika ukumbi wa Mombasa Sports Club.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa, Joho alilazimika kuamrisha ada ya kiingilio ya 1000/= kuondolewa na badala yake kitambulisho cha kitaifa kitumike kama kiingilio, baada ya idadi ya watu waliojitokeza kwa tamasha kuoneka kuwa ndogo masaa ya mwanzoni.

Inasemkana kuna mda Joho alilazimika kuwarai watu katika eneo la Mama Ngina ambao hawakua na mipango ya kuhudhuria tamasha hilo kufululiza Mombasa Sports, akiahidi kuwalipia ada ya kiingilio.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BAADA YA ALI KIBA SASA NI ADELE.

Msanii wa muziki wa RnB kutoka nchini Uingereza, Adele anatarajia kusaini mkataba mpya na kampuni ya Sony Music. Adele anatarajia kusaini mkataba wa pauni Milioni ...
Skip to toolbar