KUHUSU TEKNO KUPIGANA NA MENEJA WA WIZKID DUBAI

0

Mmiliki wa lebo ya Triple MG na meneja wa Tekno, Ubi Franklin amethibitisha kutokea kwa ugomvi kati ya Tekno na meneja wa Wizkid, Sunday Are.

Imeripotiwa kuwa Sunday Are alimtukana Tekno na kusukumana naye baada ya meneja huyo kuchukizwa na dharau za Tekno wakati wa One Africa Music Festival huko Dubai

Hata hivyo Ubi Franklin amefichua kuwa hakuna hatua zozote za kisheria zitachukuliwa dhidi ya meneja wa WizKid.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE NI KWELI AVRIL NI MJAMZITO?

 Msani wa kike jijini Nairobi Avril amezua gumzo mtandaoni kuhusiana na swala la ujaauzito. Kulingan ana picha na vipande vya video vinavyosambaa katika mitandao ya ...
Skip to toolbar