KOBE BRYANT AASTAAFU BASKETBALL.

0

Mcheza kikapu nyota wa Los Angeles Lakers Kobe Bryant amestaafu  kuchezea Ligi ya NBA.

Kobe mwenye miaka 37 ameccheza mechi yake ya mwisho kwenye ligi ya NBA dhidi ya Utah Jazz katika Uwanja wa Staples Center jijini Los Angeles, California leo asubuhi.

Lakers

Kobe amewahi kuwa bingwa wa All Star mara tano na amecheza NBA All Star mara 18 kwenye maisha yake ya NBA.

Kobe Bryant amefunga pointi 33,570 katika miaka yake 20 ya uchezaji mpira wa kikapu katika historia ya NBA, na kumfanya kuwa mcheza kikapu wa tatu katika historia ya NBA.

Kobe Bryant ameichezea LA Lakers miaka yake yote ya Basketball tangu aliposajiliwa mwaka 1996.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CHAMELEONE AMCHANA SHEEBAH

Msanii mkubwa nchini Uganda Chameleone amemchana  hadharani msanii wa kike nchini Uganda Sheebah Karungi aka Queen Sheebah akimtaka kujifunza kuvaa vyema. Chameleone amem’beza Sheebah kufuatia ...
Skip to toolbar