Gor Mahia Yateua kocha mpya

0

Mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya klabu ya Gor Mahia wanaripotiwa kumteua José Marcelo Ferreira, kuwa mkufunzi mpya wa klabu hiyo.

Gor Mahia inaripotiwa kutafuta huduma za Ferreira maaruufu kwa jina la “Zé Maria,” baada ya aliyekuwa mkufunzi Frank Nuttall kuihama klabu hiyo.

Ze Maria anatarajiwa kuwasili jijini Nairobi siku ya Ijumaa  pamoja na msaidizi wake huku ikiripotiwa kwamba huenda akatia sahii mkataba wa miaka miwili.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

STUDIO YA RAYVANNY YAKAMILIKA

Msanii Rayvanny ambaye ako chini ya usimamizi wa studio na record label ya WCB Wasafi nchini Tanzania amekamilisha ujenzi wa studio yake mpya. Kulingana na ...
Skip to toolbar