KIMBUNGA

0

Rapper kutoka kundi la Weusi Nikkwapili la nchini Tanzania kwa mara ya kwanza ameonesha Picha ya Mtoto wake mchanga.

Kupitia kurasa yake ya instagram nikki amepost picha ya mtoto huyo wa kike ambaye amepewa jina  la Zuri Nickson, na kusindikiza maneno “Hello World, say hi to baby Zuri ”.

Je, ni sawa mtu kusambaza picha za mwanawe mchanga katika mitandao ya kijamii?


Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar