KEVZ ALLY SASA BABA NA MUME WA MTU

0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka kanda ya pwani Kevz Ally amethibitisha kuwa sasa yeye ni mtu wa familia baada ya kupata mtoto.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Facebook, Kevz Ally amefichua kuwa kwa sasa yeye ni baba na mume anayejivunia majukumu mapya.

Kevz Ally ameambatanisha na picha ya mkewe na mtoto wake mchanga.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar