Rapper wa Uganda, Keko ametangaza kuwa ataastafu kurekodi muziki.
Amesema Love from Venus itakuwa kazi yake ya mwisho.
“Love from Venus will be my last works, I am sorry if I have disappointed anyone but after long thought I feel its for the best,” ameandika kwenye Twitter.
Kabla ya hapo, keko aliitaka lebo yake sony music Africa imwachie aende akidai imekwamisha mambo yake
No comments