KASSIM MGANGA ADAI MAISHA YA WASANII WENGI NI FEKI

0

Mwimbaji wa bongo fleva Kassim Mganga anadai maisha ya wasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya hayako kama vile wanavyoonyesha kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii.

Kassim anadai wasanii wengi hujaribu kuiga mtindo wa wasanii wa mataifa ya nje wa kuonyesha maisha ya kifahari, bila ya kujua kuwa wenzao yale ndio maisha yao halisi.

Kitu ambacho nimejifunza, wenzetu hawa’act, wenzetu wako real, ndio maisha yao yako vile, sisi tumekuwa tuna’fake vitu vingi havipo real, lakini tunataka tuwaoneshe kwenye mitandao, tunawadanganya sana mashabiki wetu, mashabiki wanatuona si kama watu ambao tuna maisha makubwa sana, wakati haiko hivyo kiuhalisia“, amesema Kassim Mganga.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

H_ART THE BAND WANUSURIKA KIFO

Kundi la wasanii wa kiume la H_Art the Band waliouvuma na kibao chao uliza kiatuwamehusika katika ajali. Kulingana na taarifa, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama na ...
Skip to toolbar