Baada ya kuwa na beef na mapaparazzi tofauti nchini Marekani rapa Kanye West ameweza kutafuta amani na watu hawa.
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Kanye West amempa zawadi ya viatu vya Yeezy paparazzi mmoja nchini Marekani.
Mnamo mwezi November mwaka jana rapa huyu alimuahidi paparazzi Jack Arshakyan zawadi ya viatu vya kampuni yake na sasa ametimiza hilo .
Paparazzi Jack Arshakyan,ameonyesha zawadi zake instagram na kuwashukuru Mr. and Mrs. Kanye West
No comments