KANYE WEST ATIMIZA NDOTO YA SHABIKI WAKE KABLA HAJAFARIKI

0

Rapper Kanye West wa nchini Marekani ametimiza ndoto ya shabiki wake mmoja aliyefariki baada ya kuugua saratani.

Shabiki huyu alitamani kuimbiwa na msanii Kanye west kabla ya kufariki baada ya mdaktari kumweleza kuwa siku zake zakuishi duniani zilikua zimefika kikomokutokana na ugonjwa wa saratani.

Inadaiwa kanyeWest alimpigi simu mgonjwa huyu na kumuimbi siku mbili kabla ya kifo chake.

Hata hivyo kambi ya kanye west imekataa kufichua zaidi kuhusu hatua ya Kanye West kwa shabiki wake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NANDY ASEMA YEYE NDIO NAMBA MOJA

Msanii wa Bongo Flava, Nandy anadai kwa sasa yeye ndiye msanii wa kike namba moja nchini Tanzania. Nandy amedai kwa sasa yupo mbele ya wasanii ...
Skip to toolbar