KANYE WEST ABATIZWA JINA LA KIGANDA

0

Rapper maarufu kutoka taifa la Marekani ambaye yupo ziarani nchini Uganda amekutana na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni.

Katika mkutano wao, Kanye West alimtunuku rais Museveni viatu kutoka kampuni yake ya Yeezy.

Hata hivyo, lililovutia wengi katika mitandao ya kijamii ni hatua ya rais Museveni kuamua kumbatiza jina la Kiganda Kanye West, ambapo sasa anaitwa “Kanyesigye

Kwa lugha ya Kiganda jina Kanyesigye linasemkana kumaanisha “nina imani

Mkewe Kanye West, Kim Kardashian amepewa jina la “Kemigisha” ambalo linamaanisha “aliebarikiwa na mungu” katika lugha ya Kiganda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY ADAIWA KUWA NA KIBURI

Msanii mwenye sauti ya ninga kutoka nchini Tanzania Ruby anadaiwa kuwa na kiburi. Madai haya yametolewa na msanii mwenzake katika kundi la THT kwa jina ...
Skip to toolbar