KAA LA MOTO AWEKWA KIKAO NA WAZEE WA KAYA. JE KULIKONI?

0

Msanii anaewakilisha hiphop kanda ya pwani Kaa La Moto amezua gumzo mitandaoni baada yakuonekana amekaa sako kwa bako na wazee wa Kaya wakiwa wote wamevalia sare za kitamaduni za jamii ya Mijikenda.

Kupitia facebook akaunti yake, Kaa La Moto ali’ post picha akiwa katika kikao na wazee wa kaya na kuibua maswalai tofaui miongoni mwa mashabiki wake mitandaoni.

Kaa La Moto ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya kwa jina “ongea” ni miongoni mwa wasanii wa kanda ya pwani wanaojituma katika maswla ya kimziki.

Je, hii ni video mpya inakuja ama alikua ameenda kupata baraka kutoka kwa waze wa kaya?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AFUNGWA JELA KWA KUJITEKA NYARA

Mahakama ya Mji wa Kampala nchini Uganda, imempata na hatia mwanamke mmoja kwa jina Amina Mirembe (23) baada ya kukiri kosa la kujiteka nyara makusudi ...
Skip to toolbar