JUX MBIONI AKITAFUTA HILI

0

Msanii wa RnB nchini Tanzania Jux amnaema sasa anatamani kupata mtoto.

Muimbaji huyo ambaye amekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Vanessa Mdee kwa muda sasa, anasema kulingana na umri wake wa miaka 28 angependa  atakapofikisha miaka 30 awe na mtoto.

Hata hivyo, Jux ameweka wazi atakua muangalifu sana kuchagua mke atakayezaa naeye mtoto huyo.

Katika siku za hivi karibuni Vanessa Mdee amevumishwa kuwa mjamzito.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar