JUX ASEMA KUNAKITU CHENGINE KINACHOMSADIA KUKUA KWA KASI KIMZIKI

0

Msanii mpya wa RNB kutoka Bongo  kwa jina Jux anasema muonekano wake pamoja na mavazi yake yamemsaidia kumuweka mahali fulani katika kazi yake ya muziki.

Jux anadai kuwa alitambua kuwa muonekano unaweza kumsaidia katika muziki ndiyo maana kabla ya kutoka kwenye muziki alianza kulifanyia kazi jambo hilo ambalo leo hii limezaa matunda kwenye muziki wake.

JUXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

“Unajua mimi kabla ya kutoka nilikuwa natambua kuwa muonekano wa msanii unamsaidia mtu kufikia sehemu fulani, kwani ukiwa msanii lazima ujiweke tofauti na watu wengine wa kawaida.  Mpaka sasa nilipofikia kwenye muziki wangu naweza kusema muonekano pamoja na aina ya mavazi ninayo vaa yamechangia ufunisi wangu wa kimziki” amesema msanii Jux

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY AELEZA KINACHOMVUTIA KWA JUX

Msanii wa kike katika tasnia ya Bongo Flavaz nchini Tanzania, Ruby amefunguka kuhusu kitu kinachomvutia zaidi katika mtindo wa uimbaji wa msanii Jux. Ruby anasema ...
Skip to toolbar