JUSTIN BEIBER AACHA MZIKI.SABABU?

0

Msanii maarufu wa mziki wa pop ulimwenguni Justin Bieber amethibitisha kusita kufanya muziki, hadi pale afya yake itakapo imarika.

Akitumia akaunti yake ya mtandao wa instagram, Beiber ambaye ni mzaliwa wa taifa la Canada, amesema muziki kwake ni muhimu lakini si zaidi ya familia na afya yake.

Ikumbukwe kuwa Bieber alifunga ndoa mwishoni mwa mwaka jana na mlimbwende mmoja kwa jina Hailey Baldwin na fununu zinadai kuwa karibuni watapata mtoto wao wa kwanza.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar