JUMA NATURE AZUNGUMZIA KIKI KWENYE MZIKI

0

Msanii mkongwe nchini Tanzania, Juma Nature amewafokea wasanii wenza katika tasnia ya Bongo Flavaz wanaotumia kiki za kugombana na wapenzi katika mitandao ya kijamii kujitengezea njia ya kuachia kazi mpya.

Juma Nature ameeeleza kuwa kuna tabia mpya ambapo wasaii wasikuhizi wanatumia kiki kusukuma kazi zao za kimziki badala ya kipaji na uwezo.

Msanii huyu amelinganishana miaka ya nyuma ambapo gumzo la tasnia lilihusihsa zaidi wasanii wenyewe na vipaji vyao na wala sio maisha yao ya kibinafsi ya majumbani mwao.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar