JUMA NATURE APONDA UAMUZI WA Q CHIEF

0

Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Juma Nature anasema hajafurahishwa na tangazo la msanii Q Chillah la kuacha kufanya mziki

Juma Nature anasema ni vigumu msanii kuacha mziki hususan wakati amefanya kazi hiyo kwa miaka mingi.

Juma Nature ameelza kuwa kinachowezekana ni msanii kukaa kimya kwa mda na kurudi kwenye tasnia akiwa tayari.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || ABK MAVOKO – TULIZO

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>>  ARTIST : ABK Mavoko – Tulizo: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar