JOSE CHAMELEONE ASEMA HUYU NDIYE MSANII ANAYEMKUBALI UGANDA KWENYE LIVE SHOWS.

0

Staa wa muziki Uganda Jose Chameleone aka Joseph Mayanja ambaye ni bosi wa Leone Island amefunguka hivi karibuni kuwa msanii anayemkubali Uganda ni Madox Sematimba.

madox1

Madox Sematimba

 

Jose Chameleone amesema haya wakati akishukuru watu wa Kampala Blankets na Wines!!!!!

“Sijawahi ona show kali kama hii nikiwa kwenye Pasaka na familia yangu na My favorite Ugandan Artiste Live- Madox Sematimba”.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CASSPER NYOVEST AZUNGUMZIA  BANGI.

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Afrika Kusini, Cassper Nyovest anasema hajawahi kutumia bangi katika maisha yake ili kuongeza ubunifu kwenye muziki . Cassper ...
Skip to toolbar