JOSE CHAMELEONE ANUNUA GARI LA SHILINGI MILIONI 23

0

Msanii mkubwa nchini Uganda Jose Chameleone amewashngaza wengi baada ya kununua gari aina ya Bentley Continental GTC convertible linalokisiwa kugharimu panuni alefu 164,800 ambazo ni sawa na milioni 23 pesa za Kenya.

Chameleone ambaye anapenda magari ya kifahari tayari anamiliki magari aina ya Range Rover Sport, BMW convertible, Cadillac Escalade, 1973 Mercedes miongoni mwa magari mengine mengi.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa instagram jose chameleone amepost picha ya gari hilo na kujiita mfalme.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

HALI YA MSANII HAWA MASHAKANI!

Imebainika kuwa msanii aliewahi kutamba na ngoma “Nitarejea” aliyoshirikishwa na Diamond kwa jina Hawa anasumbiliwa na ugonjwa wa ini. Ndio!!..  Hawa aliyeimba na Diamond Nitarejea ...
Skip to toolbar