JENNIFER LOPEZ ATENGANA NA MPENZI WAKE

0

Jennifer Lopez ametengana na mpenzi wake wa sasa Casper Smart.

Chanzo cha taarifa hizi kinadai, J-Lo amekuwa akiishi maisha yasiyokuwa na furaha ndani ya mahusiano na jombi huyu.

Wawili hao walianza mahusianoya mapenzi mnamo Oktoba mwaka wa 2011 lakini baadae walitengana mwaka 2013 kwa mda mfupi kabla ya kurudiana, baada ya kuishi kando kando.

Jennifer-Lopez-Casper-Smart-Main

Jennifer Lopez akiwa na Casper Smart

Mwaka 2016 umeonekana kuwa wa balaa kwa mastaa wa Marekani kutokana na kuvunjika kwa mahusiano yao ya kiapenzi.

Miongoni mwa mastaa kadhaa ambao wameonja machungu ya mapenzi mwaka huu ni pamoja na couples za wasanii Iggy na Nick Young; Diddy na Cassie; Jason Derulo na Daphne Joy.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar