JE, SHIRKO AMEACHA KUTENGENEZA MZIKI WA KIZAZI KIPYA?

0

Mtayarishaji maarufu wa mziki kanda ya pwani Shirko wa studio ya Shirko Media amewachanganya mashabiki wa kizazi kipya, baada ya kuachilia kazi yake ya kwanza chini ya studio ya yake mpya kanda ya pwani.

Shirko ambaye amevuma kwa kutengeza vibao maarufu vya wasanii wa mziki wa Bongo Flavaz nchini Tanzania kama Aslay, alihamisha makao yake na kurudi jiji Mombasa miezi kadhaa iliyopita ambapo alifungua studio Shirko Media

Hatua yake ilizua mshawasha mpya katika tasnia ya mziki wakizazi kipya kanda ya pwani, wengi wakitaja hatua yake kama itakayobadilimkonod wa mziki katika tasnia ya kanda ya pwani.

Hata hivyo, kinyume na matarajioya mashabiki wengi wapenzi wa mziki wa kizazi kipya kanda ya pwani, Shirko amechilia kazi ya mziki aina ya Qaswida ambao ni wa dini ya kiislamu.

Kibao hicho kilichoachiliwa wikendi kwa jina Ubaya kinamshirikisha Shirko na wasanii wengine wa mziki wa Qaswida kwa jina Saad Faraj Ahmed na Ahmad Masoud.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NYOTA NDOGO ARUHUSU MTOTO WAKE APIGWE

Tatizo la mimba za mapema miongoni mwa watoto wa shule ambalo limegonga vichwa vya habari wakati wa mitihani ya kitaifa inapoendelea, imetia hofu wazazi wengi. ...
Skip to toolbar