JE NI KWELI NYOTA NDOGO KAACHANA NA MPENZI WAKE? UKWELI HUU HAPA.

0

Msanii wa kike kutoka kanda ya pwani Nyota Ndogo amepinga uvumi katika mitandao ya kijamii kwamba ametangana na mpenzi wake raia wa Denmark Henning Nielsen.

Nyota Ndogo ameeleza kuwa bado yupo na Nielsen licha ya kuto post picha zake kwa wingi siku za karibuni kama kitambo.

Nyota Ndogo anaidai wapo watu wanaomuhesabia siku wakitarjia ataatengana na Nielesen aliyefunga naye ndoa miaka miwili iliyopita.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar