JE, NI KWELI DIAMOND AMEMTEMA TANASHA?

0

Mpenzi wa msanii Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania Mkenya Tanasha Donna, amejitokeza kupinga uvumi kwamba ametengana na Diamond Platnumz.

Uvumi wa Diamond kumtema Tanasha ulianza kuzagaa mitandoni baada ya mwanadada mmoja kwa jina Lynn ku’post picha inamwonyesha akiwa katika kitandanda ambacho Tanasha pia aliwahi post picha akiwa juu yake.

Kupitia instagram, Tanasha amewataka watu kutoamini kila kitu wanachosoma katika mitandao ya kijamii.

Diamond hajajitokeza kuzungumzia uvumi huu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || ABK MAVOKO – TULIZO

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>>  ARTIST : ABK Mavoko – Tulizo: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar