JE NI KWELI AVRIL NI MJAMZITO?

0

 Msani wa kike jijini Nairobi Avril amezua gumzo mtandaoni kuhusiana na swala la ujaauzito.

Kulingan ana picha na vipande vya video vinavyosambaa katika mitandao ya kijamii, Avril anonekana na tumbo kubwa huku akiwa ameongeza uzito wa mwili wake na kunenenpa.

Uvumi unadai kuwa huenda msanii huyu anabeba mimba ya miezi mitano.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

KEKO ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI

Rapper wa Uganda, Keko ametangaza kuwa ataastafu kurekodi muziki. Amesema Love from Venus itakuwa kazi yake ya mwisho.   “Love from Venus will be my ...
Skip to toolbar