JE NI KWELI AKOTHEE AMESHIKWA NA WAZIMU?

0

Msanii mkubwa kanda ta pwani Akothee amejitokeza kuzungumzia uvumi uliozagaa mitandaoni kwamba ameshikwa na wazimu.

Akothee ameweka wazi kwamba kipande cha video kinachosambaa kikimuoyesha akiwa ameshikwa na wazimu kilichukuliwa wakati aki shoot video ya wimbo wake mpya unaokuja.

Kipande hicho cha video kinamuonyesha akiwa mchafu na akipagawa na kusumbua watu wanaojaribu kumuoka na kumweka ndani ya tuktuk.

Akothee ameeleza kuwa wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Baby Daddy unazungumzia changamoto wanaopita wanawake wanaolea watoto bila usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || LAI – JACKPOT

Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo JIUNGE NAMI KUPITIA   Twitter: @BaloziTeddy      Instagram: @teddymwanamgambo      Facebook: Teddy Mwanamgambo KUSKIZA ...
Skip to toolbar