JE CANNIBAL AMERUDI KATIKA GAME?

0

Baada ya kimya cha mda mrefu, msanii mkongwe kanda ya pwani Cannibal anajipanga kutoa kazi mpya.

Cannibal ambaye kuna wakati alitangaza kuaca mziki wa kidunia na kuamua kufanya mziki wa injili anajipanga kutoa kazi kwa jina “mapenzi” akimshirikisha jamaa kwa jina D Sense.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Cannibal amesema kazi hii itaachiliwa kwa mashabiki karibuni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar