JAMAA ATABIRI KIFO CHA RAIS UHURU KENYATTA

0

Jamaa mmoja jijini Nairobi imemamrisha jamaa mmoja kwa jina Wilson Mwangi Macharia kuchunguzwa akili baada ya kudai kuwa rais Uhuru Kenyatta anapaswa kumuona kabla jumamosi ama rais afariki.

Hakimu Zainab AbdulRahman ameamrisha Mwangi achunguzwe iwapo ana matatizo ya akili na ripoti yake iwasilishwe mbele ya korti.

Mwangi anayeishi katika mtaa wa Kayole, jijini Nairobi na anafanya kazi ya kupiga rangi viatu, aliwashangaza wengi baada ya kudai mbele ya mahakama kwamba roho mtakatifu amemuotesha kwamba Rais Uhuru anahitajika kumuona kabla Machi 16 iwapo angependa kusalia hai.

Kesi hiyo itatajwa tena mwezi Machi 18, 2019.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar