ASAFIRI USWIZI KWENDA KUJITOA UHAI

0

Raia mmoja wa Australia amegonga vichwa vya habari baada ya kuanza safari kuelekea nchini Uswizi kwenda kujiua.

David Goodall mwenye umri wa miaka 104 ameaga rasmi nyumbani kwake jijini Perth nchini Australia kulekea mji wa Basel nchini Usiwizi ambako sheria inaruhusu mtu kujitoa uhai kwa hiari.

Goodall ambaye haugui ugonjwa wowote, anasema anataka kufariki sababu kuu ya uamuzi wake ikiwa, kupungua kwa uhuru wake kufuatia umri wake wa uzeeni.

Nchini kwake Australia, kuna jimbo moja tu ambalo limehalalisha kujitoa uhai, lakini ili mtu kuruhusiwa, ni sharti awe anaugua mahututi

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII APIGWA MAWE MSIBANI

Msanii mkubwa nchini Zimbabwe Jah Prayzah amejikuta katika dhahama kubwa baada ya wananchi kuanza kumshushia kipigo na mawe, alipokwenda kuhudhuria msiba wa aliyekuwa mlinzi (Body ...
Skip to toolbar