Jamaa afikishwa kortini kwa kusema hili kuhusu rais Mugabe.

0

Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kudaiwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ni mzee sana kuwa kiongozi.

Kwa mujibu wa gazeti la moja la kibinafsi nchini humo, Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, akidai kuwa kahaba .

Bwana Mloyi aliachiliwa kwa dhamana ya dola 100 sawa elfu  na 10,163 pesa ya Kenya na anatarajiwa kufikishwa mahakamani tena tarehe 15 mwezi huu.

Mugabe ndiye kiongozi wa umri mkubwa zaidi duniani baada ya kutimia umri wa miaka 92 mwezi uliopita.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BEYONCE NA JAY Z WAWASHA MOTO MITANDAONI

Wasanii wapenzi kutoka nchini Marekani, Beyonce na Jay Z wamezua gumzo mtandaoni baada ya picha wakiwa kwenye boda boda kusambaa mtandaoni. Picha hizo zinamuonyesha Jay ...
Skip to toolbar