JACKIE CHAN KUPOKEA TUZO YA OSCAR

0

Baada ya miaka 56 na filamu 200, Jackie Chan atapokea tuzo ya Oscar mwaka huu.

Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutika China Jackie Chan ametajwa kupokea tuzo yake ya Oscar mnamo November mwaka huu.

Wajumbe wa bodi ya tuzo za Oscar wamepiga kura hivi karibuni na kuchagua watu wakupokea tuzo ya heshima ya Oscar ambapo ni Jackie Chan ni miongoni.

Jackie Chan alifanya filamu yake ya kwanza akiwa na miaka 8,na atapewa tuzo hii kutokana na uwezo na muda mrefu wa kazi bora kama mwigizaji na mtayarishaji aliyefanya vizuri kimataifa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

REKODI MPYA YA DAVIDO!

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido, ameingia katika vitabu vya historia, baada ya kuwa msanii mwengine kutoka bara la Afrika, kuujaza ukumbi maarufu wa matamasha ...
Skip to toolbar