IRENE NTALE KUMUENZI MAREHEMU MOZEY RADIO

0

Msanii wa kike nchini Uganda Irene Ntale anasema atamuenzi marehemu Mozey Radio katika tamsha lake awikendi hii.

Irene Ntale amewataka mashabiki kujitokeza katika tamasha hilo ambalo ameahidi litakua lakukata na shoka.

Irene Ntale amemtaja Mozey Radio kama legend anayefaa kuenziwa na wasanii wengine katika tasnia ya mziki kanda ya afrika mashariki.

Comments

comments

uganda

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || TINO FLAVOUR – TEQUILA

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Tino Flavour – Tequila: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar